Iziwari
Member
- Jun 5, 2021
- 90
- 72
Uchaguzi wa rangi ni muhimu sana kwanye biashara yako kuliko unavofikiria.
Rangi zinaongeza hamasa kubwa kwa jinsi wateja wanavoiangalia biashara yako na kuithamini.
Na moja ya mambo ambayo watu wengi wanakosea ni kuchagua rangi zinazofaa katika biashara zao.
Kumbika ukianza tu kutumia mchanganyiko wa rangi vizuri utaanza kuona mabadiliko kwenye biashara yako.
Hii apa siri kubwa iliojificha kwenye rangi.
View: https://www.youtube.com/watch?v=MlLBPekiMM4
Tembele ulichokiona hapo juu kupitia link hii

- Rangi Nyekundu ni rangi yenye nguvu sana katika kuvutia wateja. Jinsia zote hupenda rangi hii. kutumia rangi nyekundu kuna hamasisha furaha na mahusiano. hii ni rangi inayo vutia watu kwa haraka sana.
- Blue inahamasisha watu kukuona proffessional yani mahiri na mtu wa kuaminika. Utaonekana kama mtu wa kuaminika. Na rangi hii ni nzuri sana kwa biashara zinazotoa huduma za ki umahiri Zaidi.Uki changanya blue na rangi ya kijivu au nyeusi utaongezea rangi ya blue nguvu Zaidi. Lakini kumbuka light blue ndio inapendawa Zaidi na watu kuliko dark blue. Ni kwa sababu haimfanyi mteja akajisikia vibaya na ina mpa nguvu ya maamuzi.
- Ukitaka kufahamu Zaidi kuhusu rangi zingine kama njano, gold kijani, brown, nyeusi na orange.tembelea tovuti Maajabu ya jinsi rangi zinavotumika kuongeza wateja kwenye biashara yako. | kilakitu
- Moja ya vitu vya muhimu sana katika swala hili la rangi ni kwamba kwa ufaham wa kawaida hauwezi kutumia rangi ya gold inayon’gaa sana kwenye biashara ya kuuza chumvi.
- Na mara nyingi watu wanakujaji kwa rangi unazotumia kwenye biashara yako.
- Au kama una maoni weka apo toa maoni yako hapo chini.
View: https://www.youtube.com/watch?v=MlLBPekiMM4
Tembele ulichokiona hapo juu kupitia link hii