Maajabu Ya Mawe Yaliyo Hai Ya Romania:Yanakua,Kuongezeka Na Kupumua!

Maajabu Ya Mawe Yaliyo Hai Ya Romania:Yanakua,Kuongezeka Na Kupumua!

2 inches per millenium... Yaani toka kipindi cha Yesu mpaka sasa, yameongezeka kwa nchi nne tu? Huo sio ukuaji!

Na kwamba hayo yamezaliwa... Kwa ukubwa huo inamaana yalizaliwa lini? Au yalizaliwa enzi za plato?

Hahahaa
 
Back
Top Bottom