Aman peaceful Member Joined Mar 2, 2018 Posts 89 Reaction score 63 Mar 3, 2018 #1 Wakuu wana JF.. Ni rahisi zaidi kwa mwanaharakati Mange Kimambi kuwa Mbunge wa viti maalumu pale Msoga kuliko Profesa Makoti mzee Hasanali Mawenge kuingia Top Four Msimu Huu! [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG]
Wakuu wana JF.. Ni rahisi zaidi kwa mwanaharakati Mange Kimambi kuwa Mbunge wa viti maalumu pale Msoga kuliko Profesa Makoti mzee Hasanali Mawenge kuingia Top Four Msimu Huu! [HASHTAG]#wengerout[/HASHTAG]
LIKE JF-Expert Member Joined Dec 17, 2013 Posts 4,755 Reaction score 9,889 Mar 3, 2018 #2 kuwa mbunge hapa bongo haiwezi kuwa Labda hayo Maajabu ya Mungu yamuwezeshe awe mbunge huko Ughaibuni
kuwa mbunge hapa bongo haiwezi kuwa Labda hayo Maajabu ya Mungu yamuwezeshe awe mbunge huko Ughaibuni
Mr.Junior JF-Expert Member Joined Sep 8, 2013 Posts 12,454 Reaction score 11,029 Mar 3, 2018 #3 Umekuja na id mpya ulete umbea.