Maajabu ya mwaka ndan ya dodoma

Cha ajabu ni hicho cha njano chini? Au huyo jamaa oliyevaa gwanda jeusi?
 
Haaaa haaaa teeeh teeeeh Haaaa haaaa teeeh teeeeh.

Kweli hata nami nimeona maajabu ya Dodoma!
 
Huyo ni mchungaji ana kanisa la ambalo kunywa bia unaruhusiwa kanisani pia anasema kutembea na house girl kua na wanawake wengi unaruhisiwa ana vipengele alivyotoa kwenye biblia kama mfalme suleman kua na wanawake wengi n.k ana vipeperushi pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aseeh ! Mbona umenipiga picha mkuu,

To accomplish much you must first lose everything..
 
Itabid nikupm mkuu unipeleke kanisan naona kuna upako hatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…