John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Jiwe au Mwamba wa The Al Naslaa unapatikana Kilometa 50 Kusini mwa Tayma nchini Saudi Arabia. Mwamba huu umekatwa katikati na kitu ambacho kilionyesha kina makali hasa.
Sababu ya mwamba huo kuonekana umekatwa vipande viwili haijulikani hadi leo.
Mwamba huo una upana wa mita 6 na urefu wa mita 9. Ni moja ya kivutio kikubwa cha watalii eneo hilo.