Maajabu ya Paka Dume

Maajabu ya Paka Dume

Wa Igima

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
376
Reaction score
110
Habari Wana Jamvi?
Hivi Kwanini Paka Dume Wana Tabia Ya Kupotea? Na Je Wakipotea Huwa Wana Elekea Wapi??
Kuna Uhusiano Gani Uliopo Kati Ya Paka Dume Na Imani Za Kishilikina?
 
anapotea au anaondoka tu.huwa wanaenda kutafuta majike na kuhamia huko watakapowapata.

Siyo Kweli Kwasababu Sijawahi Sikia Sehem Penye Paka Jike Paka Dume Amehamia
 
Siyo Kweli Kwasababu Sijawahi Sikia Sehem Penye Paka Jike Paka Dume Amehamia

wewe kasikilize tena tu.labda anamuijia na kumrudisha.
au tafuta uwafuge ili upate majibu!hearsay huwa zina chumvi nyingi.
 
Mapaka dume hujeuka kuwa paka shume,paka shume paka wa mwituni.
 
12688197_1210133665682973_158335613037596739_n.jpg
 
Back
Top Bottom