Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Yani ni mazoea tuHata sasa huwa nashangaa,
Uadui na paka kipindi kile ulitokana na Nini😄
Umekulia sofani?
Huwezi kuelewa maana ulivuka "stage" muhimu sana.inahusiana nini na kutesa mnyama asiweza kujitetea ? …
Huwezi kuelewa maana ulivuka "stage" muhimu sana.
(Isaya 13:21)Isaya 1:7 Nchi yenu ni ukiwa; miji yenu imeteketezwa kwa moto; nchi yenu, wageni wameila mbele ya macho yenu; nayo ni ukiwa, kana kwamba imeangamizwa na wageni.