Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Pesa sio tatizo kwa RB Leipzig, wanajua wanachokifanya tofauti na timu zingine za BL, wanauwezo wa kumpata mchezaji yoyote wakiamua tatizo ni je huyo mchezaji atakua interested nao?Cyo tatzo kwa hawa Leipzig kutupa changamoto fc Bayern munchen msimu huu ,wana presha kwl na kama cyo uwekezaj mkubwa wa Bayern wangebeba ile German bundersliga ,, ,lakn kwenye champions,league 2017/2018 c waoni kama suprise package coz Kwenye uefa yabidi uwe na uwekezaj mkubwa wa kifedha kwaajili yakunua wachezaji wazuri na wenye uwezo kwa ajili ya ushindan xo Leipzig kweli watapambana ila cyo kiviiiile xana katika uefa ikumbukwe vpo vilabu vikubwa na vyenye jeur ya pesa kama vile Madrid,barca ,Bayern ,man united,Chelsea ,PSG,nk ,,alafu c dhan kama wanaweza wasiruhusu kuuza wachezaj wao wazuri waliong'ara!, xo wanachangamoto kubwa xana na hasa kifedha zaid kwa ajili ya uendeshaji wake na kukuza club zaid ,,,,,but it was not over until its over ,tusubiri tuwaone
Walikua hawana cha kupoteza kwenye hii mechi, bayern alishatangaza ubingwa tayari, hata wangepoteza dortmund au Hoffenheim wasingewakuta, ndio maana kuna key players wao leo walikua benchi.Ft 2-2
Cjui kwa wazungu hakunaga cha kupoteza na hujizatiti kwl kwl xo wcha tuwaone mkuuPesa sio tatizo kwa RB Leipzig, wanajua wanachokifanya tofauti na timu zingine za BL, wanauwezo wa kumpata mchezaji yoyote wakiamua tatizo ni je huyo mchezaji atakua interested nao?
Walichokifanya ni kuamua kuwekeza kwa vijana kama akina werner, keita, forsberg, demme, sabitzer na tumeona ilivowalipa kwa msimu huu.
Kama umeisoma historia ya hii timu utagundua kuwa ni timu inayochukiwa zaidi ujerumani, na sababu mojawapo ya kuchikiwa ni jeuri ya pesa! Hela wanayo swali ni je wachezaji wakubwa wako tayari kujiunga nao!?Cyo tatzo kwa hawa Leipzig kutupa changamoto fc Bayern munchen msimu huu ,wana presha kwl na kama cyo uwekezaj mkubwa wa Bayern wangebeba ile German bundersliga ,, ,lakn kwenye champions,league 2017/2018 c waoni kama suprise package coz Kwenye uefa yabidi uwe na uwekezaj mkubwa wa kifedha kwaajili yakunua wachezaji wazuri na wenye uwezo kwa ajili ya ushindan xo Leipzig kweli watapambana ila cyo kiviiiile xana katika uefa ikumbukwe vpo vilabu vikubwa na vyenye jeur ya pesa kama vile Madrid,barca ,Bayern ,man united,Chelsea ,PSG,nk ,,alafu c dhan kama wanaweza wasiruhusu kuuza wachezaj wao wazuri waliong'ara!, xo wanachangamoto kubwa xana na hasa kifedha zaid kwa ajili ya uendeshaji wake na kukuza club zaid ,,,,,but it was not over until its over ,tusubiri tuwaone
Ebu tuelezee vizur basi.Vyanzo vyake vya mapato ni vipi?Kama umeisoma historia ya hii timu utagundua kuwa ni timu inayochukiwa zaidi ujerumani, na sababu mojawapo ya kuchikiwa ni jeuri ya pesa! Hela wanayo swali ni je wachezaji wakubwa wako tayari kujiunga nao!?
Chanzo chao kikubwa cha mapato ni mdhamini wa Red BullEbu tuelezee vizur basi.Vyanzo vyake vya mapato ni vipi?
Asante sana mkuu .Chanzo chao kikubwa cha mapato ni mdhamini wa Red Bull
Why RB Leipzig are the most hated club in Germany | Daily Mail Online
Asee..kama signature yangu vileMsim ujao wanatinga uefa... Mimi naona ni ile timu work jamaa wana haso balaa yan kama nyuki Nadhan ni ile nidham waliojengewa na mwalim... 'Hard (team) work beat talent if talent doesn't work hard'