Tetesi: Maajabu ya Serikali hii haya hapa

Hakuna maajabu hapa kwa maandamano ya cuf kufanyika. Taarifa za kiintelijensia huenda zimebaini hakutakuwa na lugha za uchochezi, kashfa kwa serikali na viongozi wastaafu na walioko madarakani au uvunjifu wa amani. Jeshi letu linafanya kazi kwa weledi wa hali ya juu na siku zote limekuwa makini kuwadhibiti wahuni wachache ambao hutaka kutumia maandamano kutimiza malengo yao ovu.
 
Unavyoongea kama umeshapewa buku saba ya lumumba
 
Kwani Mkuu ulikuwa hujui kuwa moja ya condition kubwa ya kuqualify kufanya kazi ndani ya serikali ya Chama Cha Majipu ni lazima ukubali uweke rehani ufahamu na taaluma yako pale mtaa wa Lumumba?

Hebu jiulize swali jepesi tu, hivi yale maamuzi yanayofanywa na yule mdada aliyekalia kigoda kule mjengoni Dodoma, hivi yanalingana kweli na shahada ya PhD ya sheria tunayoaminishwa kuwa anayo?!

Hebu tujiulize pia ilikuwaje RPC wa Mwanza alidiriki kuingiza magari ya washawasha barabarani, eti kwa kumzuia tu Mwenyekiti wa Chadema asitembelee matawi ya Chadema, lakini siku 2 tu baadaye akaruhusu wanaccm wakiandamana mitaani na baadaye kuhutubiwa na viongozi wao wa mkoa?!!
 
Nchi ya kijuha **** usitegemee cha tofauti zaidi.

Mwendo wa ku'maintain status quo na aristocracy.

Huyu anayewaambia kila siku mumuombee: sijui mumuombee afanikiwe kwa nani kwa shetani au!!!!!
Mkuu viongoz wa siasa wababaishaji sana, kama Lipumba naona anatafuta maslahi yake
 
Nchi ya kijuha **** usitegemee cha tofauti zaidi.

Mwendo wa ku'maintain status quo na aristocracy.

Huyu anayewaambia kila siku mumuombee: sijui mumuombee afanikiwe kwa nani kwa shetani au!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…