Kumekuwa na kelele nyingi za watu kuashiria kutoridhika na agenda kadhaa za serikali.
Rejea misimamo ya serikali na wapambe wao kwenye:
1. Uwepo wa Corona
2. Umuhimu wa kuchukua tahadhari dhidi ya Corona
3. Uhitaji wa chanjo dhidi ya Corona
4. Umuhimu wa wanafunzi wanaopata mimba kurejea shule.
Ikumbukwe tumepita huku:
Your browser is not able to display this video.
Kwamba leo tuko hapa:
Your browser is not able to display this video.
Kipi walicho tunyanyapaa nacho, walikomaa nacho hadi mwisho?
Tutafika tu. Kwani wala ipo hiyana basi? Ya msingi zaidi yanayobakia:
I. Mbowe siyo gaidi
II. Tunataka katiba mpya.
Hawa ni suala la muda. Tutaelewana tu.
Kwamba leo ajira zimeongezeka?
Labda kama ni mahsusi kwa ajili ya kuwaambia ndege.
Tatizo la CCM ni kuwa, chochote kinachoongelewa au kinachoshauriwa na wapinzani wao (hasa Chadema) wao ni lazima wapinge. Wanahisi kama wakikubali, watawapa wapinzani wao credit. Always, they think politics
Nyote mlaaniwe na roho zenu za husda. Mnaongea vitu kufuata mkumbo. Unashangilia mtoto akipata mimba arudi darasani, kwa wapuuzi kama brazaj sawa ila mwenye akili hawezi kufurahia maana serikali inatakiwa kuhakikisha mtoto ambaye hajawa tayari kubeba mimba haibebi.
Mimba haitoke hewani au kama ya Bikra Maria, bali inatoka katika kujamiiana; je, tunaruhusu kujamiiana? Mbona watu wanahangaika na matokeo (end result) baadala ya kupambana na chanzo (source).
Aidha unadhani bila kujua chanzo cha kuanza kujamiiana unakuwa umepata jawabu la tatizo, la hasha. Kama ni umaskini uliomsababisha mtoto ajamiiane ili apate pesa za kujikimu, je akirudi shule ufukara huo utakuwa umekoma au umeongezeka. Hili suala ni zito siyo kama wapuuzi kwa kumchukia JPM wanataka kutueleza
Nyote mlaaniwe na roho zenu za husda. Mnaongea vitu kufuata mkumbo. Unashangilia mtoto akipata mimba arudi darasani, kwa wapuuzi kama brazaj sawa ila mwenye akili hawezi kufurahia maana serikali inatakiwa kuhakikisha mtoto ambaye hajawa tayari kubeba mimba haibebi...