Maajabu ya Serikali ya CCM kusalimu Mwishoni

brazaj , asikudanganye mtu, hii ni international pressure. Bila hivyo haya majitu yasingelisalimu amri. Ndiyo maana nasema hata kesi ya Mbowe, Lisu has to go around the democratic world to request them to pressurize Samia to drop these fabricated charges against Mbowe
 
Pamoja na yote, "our fate remains solely in our hands."

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Alikuwa farah sana huyo mzee. Ataendelea kukumbukwa kama Waganda wanavyomkumbuka Idd Amin.
For your information baada ya nyie wapuuzi wachache kujua ukweli, marais ambao hawatasahaulika hapa Tanzania ni Mwl Nyerere na JPM
 
Kwa nini sasa unalalamika kuhusu mtoa mada kumkumbuka? Kwani mimi nimesemaje? Unarudia tu nilichokisema. Kwamba huyo farah atakumbukwa hata katika kifo kwa ufarah wake km ilivyo kwa Idd Amin.
For your information baada ya nyie wapuuzi wachache kujua ukweli, marais ambao hawatasahaulika hapa Tanzania ni Mwl Nyerere na JPM
 
Jiulize ni kwanini Jiwe anachukiwa sana na watu wenye akili na kupendwa na watu wale wa twaweza ukiwemo wewe
 
For your information baada ya nyie wapuuzi wachache kujua ukweli, marais ambao hawatasahaulika hapa Tanzania ni Mwl Nyerere na JPM
Acha kujitoa akili, labda akumbukwe na watu kama wewe, pil acha kumchanganya Nyerere na.....
 
Pamoja na yote, "our fate remains solely in our hands."

Au nasema uongo ndugu zangu?
Yes our fate remains in our hands including seeking international assistance as we did during Uhuru struggle in Southern Africa
 
Yes our fate remains in our hands including seeking international assistance as we did during Uhuru struggle in Southern Africa

Whoever is willing to listen, help or support is obviously welcome. However our role onto this should not be underestimated.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…