maajabu ya shule za kata....

maajabu ya shule za kata....

tindikalikali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
4,854
Reaction score
1,129
QN; EXPLAIN THE EFFECTS OF POPULATION GROWTH IN DEVELOPING COUNTRIES LIKE TANZANIA.
Population growth is the increase in population in a certain area.
Spread of diseases the peole was due to spread ofdiseases but yhe population was to contact high of the country.
Lack of social services the population was lack of social services people was it is producing of population in the country.
Lack of unemloyment the population if lack of unemployment the people was high of population of the region of the country.
NB; Huyu ni mwanafunzi wa form four niliyekutana naye mwaka jana, sikutaka hata kuendelea kuisoma hiyo essay yake. Kwakweli ilinisikitisha na machozi yalinitoka. Hivi mtoto kama huyu kwanini asipate Zero? Japo sijafuatilia matokeo yake, nina uhakika amezungusha...
 
Sijui ndiyo mwanafunzi wako mkuu, lakini nachoweza kusema ni kuwa walimu wengi nao ni funika kombe mwanaharamu apite, kama wabunge vile. Tatizo hapo lipo wazi mtoto hajajisomea, hakuelewa lile somo na hajapata kitu, pamoja na kingeereza kuwa kibovu!!
 
Nimeshindwa kujizuia kucheka ila huyo mwnafunzi ni SUPER GOI GOI na waalim nao ni kwereeeee

Dah pole sana.
 
jamani sasa hivi ni usiku sana lakini nimecheka kwa sauti kuuuubwa! Sio kwamba nafurahi la asha! Ni ajabu sana
nilikutana na mwanafunzi wa aina hii magu mwanza,sasa tatizo ni kwamba mimi nilikomaa kusoma hadi kichwa kikauma huku nina lundo la mapepa ya kusaisha..walimu wazoefu wakaniambia napoteza muda niweke zero haraka kwani huyo haujui kitu ila anajua maneno ya kiingeleza hivyo anaandika kila kinachokuja kichwani.ni aibu kwa taifa,nilipokutana na kijana wa form one asiyejua kusoma wala kuandika basi nikaanza kuona kawaida tu.
 
Nimeshindwa kujizuia kucheka ila huyo mwnafunzi ni SUPER GOI GOI na waalim nao ni kwereeeee

Dah pole sana.

mwanafunzi kajitahidi sana. Nampongeza sana. Shule zile zina walimu wawili na si zaidi. Labda mtu afeli zake form six akasaidie akisubiri kujiunga na ualimu. Unategemea nini?
 
Huyu mwanafunzi ana IQ nzuri tena sana,tatizo ni lugha tu!angeambiwa aandike kwa kiswahili angeeleweka vizuri tu.
 
huyu mwanafunzi mbona yuko makini mnacheka hili na hapa dar kuna wanafunzi kidato cha pili hawajui kusoma wala kuandika. Nenda chanika? Mbagala. . Hal4 ni tete.
 
QN; EXPLAIN THE EFFECTS OF POPULATION GROWTH IN DEVELOPING COUNTRIES LIKE TANZANIA.
Population growth is the increase in population in a certain area.
Spread of diseases the peole was due to spread ofdiseases but yhe population was to contact high of the country.
Lack of social services the population was lack of social services people was it is producing of population in the country.
Lack of unemloyment the population if lack of unemployment the people was high of population of the region of the country.
NB; Huyu ni mwanafunzi wa form four niliyekutana naye mwaka jana, sikutaka hata kuendelea kuisoma hiyo essay yake. Kwakweli ilinisikitisha na machozi yalinitoka. Hivi mtoto kama huyu kwanini asipate Zero? Japo sijafuatilia matokeo yake, nina uhakika amezungusha...

hahaaaaa.sasa hii inatofauti gani na majibu ya JK kule Davos...yaani hawa wanamuiga Rais wao wala si wa kuwalaumu..well done mwanafunzi wangu wa shule ya kata
 
Huyu mwanafunzi ana IQ nzuri tena sana,tatizo ni lugha tu!angeambiwa aandike kwa kiswahili angeeleweka vizuri tu.

Nakataa mkuu,sio tatizo la lugha au nini, hebu sikia haya maneno ambayo watoto wetu hupenda sana kuyaongea: Mimi nakariri POINTS tu maelezo nitaandika kiingereza changu cha 'the the the' pia nitaandika mwandiko wa dokta msahihishaji atanipa tu 2/5. Matokeo yake ni majibu ya hovyo. Mwisho nadhani kuna kila sababu ya kuwafundisha watoto jinsi ya 'kujieleza',wanakaukIwa na maelezo mapema.
 
mkuu nimecheka sana inawezekana waalimu wanavunjika mbavu sana huko kwenye kusahihisha mitihani
 
Hao walioandika mashairi ya bongo fleva ni wa mjini, kizazi hiki kinaenda kubaya na cc kaka na dada zao tunaangalia tu, we need to something jamani, huyo aliemwaga point unaweza kuta ni mtoto wa dada yako kwa baba yako mkubwa kwa babu yenu
 
Hawa wanaocheka..angalieni mitihani ya wenenu au wadogo zenu... Mtazimia kabisa... Janga la Taifa hlo
 
Nimeshindwa kujizuia kucheka ila huyo mwnafunzi ni SUPER GOI GOI na waalim nao ni kwereeeee

Dah pole sana.

kama m..kwere alisema anamanufacture walimu unategemea wanafunzi kuwa na chochote cha kujibu?
 
kama m..kwere alisema anamanufacture walimu unategemea wanafunzi kuwa na chochote cha kujibu?

Hapaana ndugu. Tena kama hawa waalim wa miez sita sidhan kama wanajua nini wanafanya zaid ya kupatania mshahara.... Taifa litaendelea kuwa tete mpaka hapo tutapofanya maamuz sahihi tena kuanzia ngaz za juu ndipo tuje tuondoe UGOI GOI kwenye shule zetu hiz za kata.... Umensoma.?
 
We ushaambiwa kuna mkuu wa mkoa, mind you mkuu wa mkoa, Arusha huko, anakwepa kwenda kwenye mikutano kwa sababu hajui kiingereza.

Janga la kitaifa.
 
Back
Top Bottom