Maajabu ya soya nafaka

alysious B

New Member
Joined
Jun 16, 2017
Posts
2
Reaction score
1
Soya ni nafaka ambayo ikitumiwa vzur huleta afya nzuri na kuondosha magonjwa ya aina mbalimbali Faida chache za kutumia soya nafaka
-huleta kumbukumbu
-huondoa kolesto
-kuongeza king a mwilini
-huleta kinga ya kutopata saratani ya matiti na kizazi
-hutibu matatizo ya koma hedhi
-husaidia kwa watu wenye madonda ya tumbo,selimundu , presha na HIV,Saratani
BIDHAA ZITOKANAZO NA SOYA
_Maziwa
_mayonize
_soya sherk
_nyama
_majani ya chai
_scrub

Kujua kutengeneza vitu hivi follow me in what's app 0713194713 kupata details zote
 
Kwa gharama ya sh.1600/=/kg njoo nikuuzie tani 7 za soya nilizo vuna juzi hapa lundusi Songea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…