Maajabu ya Tanzania: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake na ripoti fake

Maajabu ya Tanzania: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake na ripoti fake

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Yaani Tanzania ni nchi ambayo kila kitu sasa ni fake

Maajabu ya TZ: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake, ripoti za Raisi fake na marafiki fake-machawa

Je kuna nchi Dunia hii watu wako fake kama Tanzania

1. Tuna mfumo wa Demokrasia ambao serikali ndiyo inaongoza kudidimiza!
2. Ripoti za Raisi kila siku kwa wananchi wakati huohuo yeye mwenyewe anawaambia hao wanaotoa ripoti huko ndani hazihitaji
3. Chunguzi za utekaji fake wakijua watekaji
4. 4R fake Mama ana agiza yeye mwenyewe yafanyike kinyume na 4r zake
5. Mikataba ya uwazi fake ambayo Mama mwenyewe anazuia wananchi wasijue.
 
Tanzania nchi yangu
Inatakiwa tubadilishe katba ccm inatuwalibia nchi yetu
 
Siku ccm ikiondoka mabadilko yatakuja
Adui wa maendeleo ya taifa hili ni ccm
 
Dead country.ipo siku itafufuka na siku hyo sijui ccm wataomba wamezwe na ardhi.kama ilivyokuwa ccm na chadema karatu.ccm ilifutwa kuanzia vitongoji udiwani na ubunge tangia 95 hadi 2020 pale MWENDAZAKE aliponyanganya kwa nguvu.
 
Back
Top Bottom