Maajabu ya Tanzania mapya niliyoshuudia mwezi huu unaoishia kesho

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,465
1. Hembu fikirini waziri Mwijage katangaza ndani ya miaka 2 vimeongezeka zaidi ya viwanda elfu 3 wakati muda muu ninapoandika uzi huu hakuna umeme karibu nchi nzima, zaidi ya yote hakuna ajira

2. Hembu fikirini waziri mkuu kaenda na msafara bandarini kagundua magari hayajiliwa kodi. T.R.A wanakuja kusema baadaye yamelipiwa kodi na ndo maana yana kadi tatizo ni wao na TPA

3. Fikiri ndani ya uchaguzi mdogo wasimamizi wa upande mmoja wanapigwa na watu wasiojulukana na uchaguzi unaendelea na mshindi anatangazwa na mmoja aliyeshindwa Kati ya 43 anaomba radhi kwa watu kufanya demokrasia yao hata sielewi lengo la kuomba radhi

4.
5.
6.
 
Mkuu hujawaza kuanzisha kiwanda hata kimoja? Maendeleo yanaanza na wewe, Kwani wewe unaishi watu kusiko na umeme?
 
CCM woyeeee kila kitu uwongo tupu yani fiksi fiksi tupu familia nzima
 
Hata kwa Mugabe tuliaminishwa kwamba wananchi wanampenda sana mzee Mugabe cha ajabu alipokubali kujiuzulu wananchi wakasherehekea zaidi ya 95%ya nchi nzima

Yaani watu walifurahi Mugabe kujiuzulu? Yaani watu wafurahie rais wao kipenzi kujiuzulu?

Nawahakikishia hata leo ikitokea ccm ikaachia madaraka mpaka polisi watafanya sherehe kusherehekea ccm kuondoka madarakani.

Ccm wenyewe baada ya uchaguzi husema wananchi wanakipenda na kukiamini chama chao[emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi watu wakipende chama kungekua na haja ya kutumia mabomu ya machozi??

Watu wakipende chama kutakua na watu kuichukia serikali namna hii??

Kuna wale mama wa kambo, ndugu yako akija anataka kuondoka nawewe unafurahi kimoyomoyo cha ajabu mama wa kambo anamwambia huyu hawezi kukubali kuondoka nawewe maana tunapendana kweli kweli[emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe unaogopa kumfanya aonekane hafai mbele ya jamii
 
Awamu ya Tano inalazimisha kuonekana inapendwa lakini sio kweli
 
Mkulu kuokota magari bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…