Maajabu ya Tanzania, Poland waliwahi kuwa wakimbizi Tengeru

Maajabu ya Tanzania, Poland waliwahi kuwa wakimbizi Tengeru

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Tanzania ni nchi ya maajabu nchi yenye historia ilio tukuka. Kumbe miaka ya 1932 kundi kubwa la wa Europia Poland walikuja kupiga kambi Tanzania kama wakimbizi wakati huo ikiitwa Tanganyika.

Inasemekana kama sio sisi kuwatunza wanazi walitaka kuwaangamiza.

Hili ni historia ilio tukuka na maajabu sana. Inasemekana makazi yao na maisha yao yamebaki kuwa historia kule Tengeru.

Hili ni Taifa lenye kumbukizi za kushangaza sana na hii inadhirisha ule usemi sisi twaweza kuwa donar count
 
Ndiyo umejua leo kuwa Tengeru kulikuwa na wakimbizi wa Poland?
 
Tanzania ni nchi ya maajabu nchi yenye historia ilio tukuka. Kumbe miaka ya 1932 kundi kubwa la wa Europia Poland walikuja kupiga kambj tanzania kama wakimbizi wakati huo ikiitwa Tanganyika.
Inasemekana kama sio sisi kuwatunza wanazi walitaka kuwaangamiza.
Hili ni historia ilio tukuka na maajabu sana. Inasemekana makaz yao na maisha yao yamebaki kuwa historia kule Tengeru.
Hili ni Taifa lenye kumbukiz za kushangaza sana na hii inadhirisha ule usemi sisi twaweza kuwa donar count
Hakuna nchi iliyoitwa Tanzania 1932.
 
Kwahiyo hii ni sifa au ujiko?? Wakati huo wapoland wanakuja Tanganyika kwa usafiri imara wa meli na majahazi, ninyi na mababu zenu mlikuwa mmejivika magome ya miti na kula mizizi!! Unaona hilo GAP?
 
Mpk utuambie ulichomfanya ben SAA name vinginevyo humu jf umelaaniwa milele
 
Back
Top Bottom