Hakuna nchi iliyoitwa Tanzania 1932.Tanzania ni nchi ya maajabu nchi yenye historia ilio tukuka. Kumbe miaka ya 1932 kundi kubwa la wa Europia Poland walikuja kupiga kambj tanzania kama wakimbizi wakati huo ikiitwa Tanganyika.
Inasemekana kama sio sisi kuwatunza wanazi walitaka kuwaangamiza.
Hili ni historia ilio tukuka na maajabu sana. Inasemekana makaz yao na maisha yao yamebaki kuwa historia kule Tengeru.
Hili ni Taifa lenye kumbukiz za kushangaza sana na hii inadhirisha ule usemi sisi twaweza kuwa donar count
Hakuna nchi iliyoitwa Tanzania 1932.c
Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania 1932.Lakini ndani ya habari amesema wakati huo ilikua inaitwa "Tanganyika"
Hakuna nchi iliyokuwa inaitwa Tanzania 1932.
Miaka hiyo kulikuwa hakuna jina Tanganyika..Lakini ndani ya habari amesema wakati huo ilikua inaitwa "Tanganyika"
Miaka hiyo kulikuwa hakuna jina Tanganyika..