JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
Nilipata mda wakufatilia kidogo kuhusu maswala ya mimea na mwili wa binadamu kipindi flani lakini ni jambo na somo zuri kulielewa sana.View attachment 1781483
Mbegu ya Parachichi ina muonekano kama Mtoto akiwa ndani ya mji wa mimba
Kama ilivyo kwa mimba, Parachichi huchukua miezi 9 hadi kukomaa kwake
Parachichi husaidia afya ya Mama Mjamzito na ukuaji wa mtoto aliye tumboni
Parachichi husaidia kupunguza uwezekano wa mtu kupata Saratani ya Kizazi
Hii ni changamoto, yaani miezi 9 kuanzia maua hadi tunda kukomaa? Yaani maparachichi uzao wake ni mara moja kwa mwaka? [emoji134][emoji134][emoji1745]View attachment 1781483
Mbegu ya Parachichi ina muonekano kama Mtoto akiwa ndani ya mji wa mimba
Kama ilivyo kwa mimba, Parachichi huchukua miezi 9 hadi kukomaa kwake
Parachichi husaidia afya ya Mama Mjamzito na ukuaji wa mtoto aliye tumboni
Parachichi husaidia kupunguza uwezekano wa mtu kupata Saratani ya Kizazi
SIKWELIHii ni changamoto, yaani miezi 9 kuanzia maua hadi tunda kukomaa? Yaani maparachichi uzao wake ni mara moja kwa mwaka? [emoji134][emoji134][emoji1745]