MAAJABU YA UNGA WA MWANI

MAAJABU YA UNGA WA MWANI

BARA BARA YA 5

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
1,174
Reaction score
835
Dear,
Nimekuwa muhanga wa tumbo kujaa gesi kwa muda mrefu, nikatambulishwa bidhaa ya mwani( seaweeds) toka nimeanza kutumia naona mabadiliko makubwa ya;
1.Gesi imekata kabisa
2.Pressure iko regulated vizuri.
3.Joint zimekuwa imara.
4. Yale mambo yetu ndio usisema.

Tubadilike ndugu zangu tuanze kutumia bidhaa hii kama chakula dawa.
 
weka picha mkuu
 
Back
Top Bottom