Pascal_TZA
Member
- Mar 25, 2014
- 27
- 76
Mtumishi wa Mungu Prophet Nicolaus Suguye Jumapili hii tarehe 16/3/2025 kwenye UZINDUZI WA WIKI YA OPERATION YA KUVUNJA, KUBOMOA NA KUHARIBU MALANGO YA KUZIMU NDANI YA FAMILIA ambapo Nabii Suguye atawavisha Waumini VAZI lake lenye MAAJABU YA KINABII.
“Biblia inasema kwenye Kitabu cha Mathayo 16:18 "Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; wala milango ya kuzimu haitalishinda." Suguye
“Tarajia malango ya kuzimu yanayotesa Familia kwenye Afya yako, Uzak wako, Uchumi wako, Elimu, Ndoa Na Mahusiani yako katika kazi na bishara zako kuvunjwa kubolewa na kuharibiwa kabisa ndani ya Kanisa la WRM lililopo Kivule Matembele ya pili” Suguye
Ibada hii ya kupokea muujiza wako Jumapili itaanza Saa 12:00 Asubuhi hadi Saa 6 mchana, Ibada ya Pili itaanza saa 8:00 Mchana na kuendelea. Nabii Suguye anakukarinisha uwalete wagonjwa wote wenye Changamoto mbalimbaliMungu atawaponya.