Maajabu ya wanaume tunavyotofautiana kumaliza mshindo ulingoni

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Wanawake tupeni ukweli Wa jambo hili,
Kuna story kwamba kila mwanaume ana style yake ya mlio afikapo mshindo!
Nasikia kuna wengine hulia kama ng'ombe, wengine hufumba macho, wengine hutoa macho, wengine hujamba, wengine hutoa miguno na wengine hufikia hata kutoa haja hubwa.
Sasa je hili kwenu lipoje?
Nimejichunguza mimi huwa natabasamu sijui kwenu! Wanawake pia mwaweza tusaidia bwana zenu huliaje!
 
dmkali mchana huu umeamua kutuma thread za kila aina! hahahahahaahaha hii ya tatu naiona ndani ya lisaa moja tu
 
Nasikia maprofesa wafikapo mshindo wao hutikisa kichwa tu ile ishara ya kuelewa jambo..😀😀
 
Anayetoa haja kubwa kushka ukuta kunamhusu
 
Wanawake tupeni ukweli Wa jambo hili,
Kuna story kwamba kila mwanaume ana style yake ya mlio afikapo mshindo!
Nasikia kuna wengine hulia kama ng'ombe, wengine hufumba macho, wengine hutoa macho, wengine hujamba, wengine hutoa miguno na wengine hufikia hata kutoa haja hubwa.
Sasa je hili kwenu lipoje?
Nimejichunguza mimi huwa natabasamu sijui kwenu! Wanawake pia mwaweza tusaidia bwana zenu huliaje!

Hahahaaaaaa, hadi wa haja kubwa wapo? Inashangaza.
 
dmkali mchana huu umeamua kutuma thread za kila aina! hahahahahaahaha hii ya tatu naiona ndani ya lisaa moja tu
Hahaha pole mkuu...sijui ndo shemeji amekubusu hadi mdomo umevimba au mambo ya UKUTA? Tafuta pili pili hoho..!! jamaa atakuwa ametendwa au katoka kupiga mechi
 
Huwa namsifiaga sana yani na Promise za kutokumuacha haha wanawake ukiwajulia Psychology yao Raha sana
 
Back
Top Bottom