Nasikia maprofesa wafikapo mshindo wao hutikisa kichwa tu ile ishara ya kuelewa jambo..ππWanawake tupeni ukweli Wa jambo hili,
Kuna story kwamba kila mwanaume ana style yake ya mlio afikapo mshindo!
Nasikia kuna wengine hulia kama ng'ombe, wengine hufumba macho, wengine hutoa macho, wengine hujamba, wengine hutoa miguno na wengine hufikia hata kutoa haja hubwa.
Sasa je hili kwenu lipoje?
Nimejichunguza mimi huwa natabasamu sijui kwenu! Wanawake pia mwaweza tusaidia bwana zenu huliaje!
Duh hizi mada zingineπkuna wengine hulia kama ng'ombe, wengine hufumba macho, wengine hutoa macho, wengine hujamba, wengine hutoa miguno na wengine hufikia hata kutoa haja hubwa
Wanawake tupeni ukweli Wa jambo hili,
Kuna story kwamba kila mwanaume ana style yake ya mlio afikapo mshindo!
Nasikia kuna wengine hulia kama ng'ombe, wengine hufumba macho, wengine hutoa macho, wengine hujamba, wengine hutoa miguno na wengine hufikia hata kutoa haja hubwa.
Sasa je hili kwenu lipoje?
Nimejichunguza mimi huwa natabasamu sijui kwenu! Wanawake pia mwaweza tusaidia bwana zenu huliaje!
Nataani sana nipige chabo kwa huyo anaelia kama ng'ombe
Hahaha pole mkuu...sijui ndo shemeji amekubusu hadi mdomo umevimba au mambo ya UKUTA? Tafuta pili pili hoho..!! jamaa atakuwa ametendwa au katoka kupiga mechidmkali mchana huu umeamua kutuma thread za kila aina! hahahahahaahaha hii ya tatu naiona ndani ya lisaa moja tu