Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Wakuu tujuzane na kuhabarishana hapa maajabu ya wanyama mbalimbali.
Kwanini nyoka ana ndimi mbili? Nyoka na wanyama kama kenge huwa na ndimi zilizogawanyika. Ndimi zile huwasaidia kujua lindo lilipo. Wanyama hawa hutumia ndimi kugundua kemikali zilizopo hewani ambazo huonyesha uwepo wa windo. Wakisense kemikali nyingi kwenye ulimi wa kushoto basi wanajua lindo lipo kushoto. Wakisense nyingi kulia basi lipo kulia. Wanatoa ulimi na kuuingiza ndani ili kusafisha kemikali za zamani na kuwa fresh kusense mpya. Kumbe ndimi mbili za nyoka siyo sababu ya unoko!!.
Kwanini bata wakizaliwa tu wanaanza kumfuata mama yao?. Hii kitu inaitwa imprinting. Bata wanapototolewa tu kiumbe cha kwanza kukiona basi wanajua ni jamii yao na kuanza kukifuata. Kwa sababu wakitotolewa kiumbe cha kwanza kukiona huwa ni mama bata basi ndiyo maana hufuata mama yao. Lakini ikitokea wametotolewa na kiumbe cha kwanza kukiona ni binadamu au kiumbe kingine badi hufuata hicho. Hata mama bata akitokea baadaye hawawezi kumfuata. Wanakuwa wanajiaminisha kichwani kuwa wao ni binadamu. Hata binadamu huwa tunatabia ya kuamini sana vitu vya kwanza kuanza kutumia.