Maajabu! Yesu na Musa waonekana mitaani Nairobi!

Sasa kama wana ruksa kutengeneza filam yao hapo ni nini cha ajabu?? Kama kuna mtu aliyeishi wakati wa Musa labda huko mbugani kwa mkwe wake mzee Yethro , huyo tu ndiye ashangae kuwa mkwewe Yethro alikuwa kajificha wapi hadi anaonekana leo.

Siwezi sema nimemwona Musa huku umri wangu miaka 30 hapa duniani.
 
Utani pembeni, hivi haya majitu ni akina nani na wana nia gani maana ghafla tunaona wazungu wanakatiza kitaa huku wana mandevu na kuvalia kiajabu ajabu, wanasababisha taharuki inafaa wahojiwe.
Kwanini hawaulizwi? Wameingiaje nchini?
 
Kenya wako karibu sana Mungu kulikuwa na mungu gani sijui sasa wamekuja kina Musa.
 
Utani pembeni, hivi haya majitu ni akina nani na wana nia gani maana ghafla tunaona wazungu wanakatiza kitaa huku wana mandevu na kuvalia kiajabu ajabu, wanasababisha taharuki inafaa wahojiwe.
Hehe usiwaze bro hawa ni kaka zetu ukifatilia sana utagundua sisi Wakenya ni Wayahudi weusi. Wakaribishwe tu, ni fursa ya kujitangaza pia!
 
Utani pembeni, hivi haya majitu ni akina nani na wana nia gani maana ghafla tunaona wazungu wanakatiza kitaa huku wana mandevu na kuvalia kiajabu ajabu, wanasababisha taharuki inafaa wahojiwe.
Ujinga kiwango cha PhD hivi kinachowashtua ninini? Hamjawahi kuona watu wenye ndevu?
 
Waje huku tuwaweke ndani kwanza ili wapate adabu!
 
Ivi kwel jaman yesu anafanana na huyo jamaa! Na anaeamini kama yesu ana sura hiyo ni nan! Nyie mna nn lakin mnaboaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…