sio wote wenye malavidavi,kama mimi nimeshayasahau kabisa,mimi nipo mpendwa
kwa nini lakini?....unajua hujitendei haki na Mungu hapendi
nimesha give up mambo ya malavidavi,nawaachia wengine.nikishaumwa na nyoka,nikiona unyasi nashituka
nimesha give up mambo ya malavidavi,nawaachia wengine.nikishaumwa na nyoka,nikiona unyasi nashituka