ACT ya Zito ni ya walanguzi wakisiasa safari labda wapewe ila wanaweza wasipate hata kiti kimojaMaalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa hata. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.
90% Dkt Mwinyi atashinda
mpina katumwa na ccmAnna Ngwila na Bernard Membe wameondoka pia kupitia ACT wazalendo. Mpina sijui anafikiria nini?
Salum mwalim vs Samia urais. DahMbowe pia kaondoka na Chadema yake
Baada ya kifo cha Seif Zanzibar hakuna tena upinzani. Hii ni kwa sababu upinzani Zenji mizizi yake ilikuwa imejikita kwenye Seif kupata urais na siyo utofauti wa itikadi per se. Na pia kosa kubwa alilofanya ni kukubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa. Huwezi kushiriki kwenye serikali halafu ukabaki kuwa mpinzani. Plus ATC ni chama cha mchongo, kilichoanzishwa na Zitto na swahiba yake Kikwete kwa malengo maalum. Wapinzani Zenji sasa hivi wapishapewa ving'ora na ubunge imetoka.....Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa hata. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.
90% Dkt Mwinyi atashinda
Labda Chadema maslahiMbowe pia kaondoka na Chadema yake
Mbowe pia kaondoka na Chadema yake
Huna unalujua kuhusu siasa ya Zanzibar pole sanaMaalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa haswa. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.
90% Dkt Mwinyi atashinda. Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali huko Zanzibar
Ktk mapokezi ya leo bara bara tupu tofauti na enzi za maalim
Salum mwalim vs Samia urais.Mbowe pia kaondoka na Chadema yake
Sio kweli. Ukweli kwambaBaada ya kifo cha Seif Zanzibar hakuna tena upinzani. Hii ni kwa sababu upinzani Zenji mizizi yake ilikuwa imejikita kwenye Seif kupata urais na siyo utofauti wa itikadi per se. Na pia kosa kubwa alilofanya ni kukubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa kitaifa. Huwezi kushiriki kwenye serikali halafu ukabaki kuwa mpinzani. Plus ATC ni chama cha mchongo, kilichoanzishwa na Zitto na swahiba yake Kikwete kwa malengo maalum. Wapinzani Zenji sasa hivi wapishapewa ving'ora na ubunge imetoka.....
Tupe wewe. Leo Wauza vitambaa na maduka darajani wamefunga kwenda kumpokea Mpina? Enzi za maalim unguja nzima kuanzia Jangombe, Mwembe makumbi, Makunduchi hivi sasa gari zikipishana. Jee leo ni hali ile ile?Huna unalujua kuhusu siasa ya Zanzibar pole sana
chadema inamalizwa na mahakama na msajiri na wananamtandao Mbowe hana issueMbowe pia kaondoka na Chadema yake
kwahiyo wale wajinga 55 ndo Chadema?...Mbowe pia kaondoka na Chadema yake
HahaaaMbowe pia kaondoka na Chadema yake
Inasikitisha sana, ulioyaongoea yana ukweli, Ila suala la mwinyi kushinda haliwezekani. CCM njia pekee ya kushinda Zanzibar ni kupora tu.
Maalim kaondoka na ACT wazalendo yake.
Hivi sasa ACT kwa upande wa Zanzibar imesinyaa haswa haswa. Viongozi wa sasa hawana mvuto wa kisiasa.
90% Dkt Mwinyi atashinda. Kwa mujibu wa taarifa mbali mbali huko Zanzibar Ktk mapokezi ya leo bara bara tupu tofauti na enzi za Maalim
Katika enzi za Maalim, wakati wa kumpokea Unguja nzima inasimama.
Magari kutoka chwaka, Uroa, Bweju ; Jambiani yamesheheni barabani
Nungwi, matemwe, Pwani mchangani bara bara zote Zipo Tupo tulips.
Wauza maduka wa darajani na mchangani yote yanafungwa.
Leo mambo ziii. Malindi kila mmoja anashughuli zake.
Tusiandikie mate wakati wino upoHozo ndizo dalili zenyewe za No Reforms No Election. Wananchi wameielewa Chadema. Maza bado anajifanya ni Chura Kiziwi. October CCM watapiga kura peke yao kama walivyofajya kwenye kura za maoni.