Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Ndiyo njia mbadala ya kuiba kuraTume ya uchaguzi wanafikiri kuwa hatujui kuwa wataisaidia CCM kufunga goli la mkono Oct 27 kupitia kura za maruhani!
Utata uko wapi.Maalim Seif na yeye apunguze matamshi yenye utata...
Naona huko visiwa vya karafuu kumeshakucha.Hapa Maalim awapige chini.
Asimame na msimamo wake. Kura ni siku moja. Hakuna kukubali kusimama kampeni hata kama ni kwa amri ya jiwe:
View attachment 1600739
Ukijaribu kumfanyia figisu maalimu ujue unacheza na amani ya ZanzibarTume ya Uchaguzi Visiwani Zanzibar imemtaka Mngombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha @ACTwazalendo maalim @SeifSharifHamad kufika kwenye kamati ya Maadili Majira ya saa 7 mchana kujieleza juu ya malalamiko yaliyotolewa na chama cha Demokrasi makini kuhusiana na Kauli Aliyoitoa siku za hivi karibuni ya kuwaambia watu wakapige kura Oktoba 27 mwaka huu badala ya Octoba 28 siku iliopangwa na ZEC.
"Narudia SOTE TUKAPIGE KURA OKTOBA 27"- amesisitiza tena Maalim Seif baada ya wito huo.
Mwenye Zanzibar yake kashasema kura ni 27/10/2020 hao vibaraka wa jiwe wanamamlaka gani na Zanzibar?Hapa Maalim awapige chini.
Asimame na msimamo wake. Kura ni siku moja. Hakuna kukubali kusimama kampeni hata kama ni kwa amri ya jiwe:
View attachment 1600739
Mkuu vipi? Uliona wapi watu milioni 2 wakapige kura siku mbili ilihali milioni 29 wanapiga siku moja? Tume ndio iache utata na utoto kwanza.Maalim Seif na yeye apunguze matamshi yenye utata...
Kura laki 5 mkuu tena hapo baada ya kuingiza wapiga kura hewa!Ni njama za wazi ,Tanzania bara yenye wapiga kura mil 29 wanapiga kura siku 1 halafu Zanzibar isiyo na zaidi ya wapiga kura mil 2 wanapiga kura siku 2