Zanzibar 2020 Maalim Seif ametakiwa kufika katika Kamati ya maadili ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar kujibu tuhuma za kukiuka maadili ya uchaguzi

Aitake NEC itoe ufafanuzi,
Kura za tarehe 27 usalama wake utakuwaje? Zinalindwa na nani na kwa uhalali upi?
 
Mliona wapi wapiga kura 300,000 wapige kura kwa siku mbili na wapiga kura 28m wapige kura kwa siku moja wakiwemo hao 300,000. Hilo haliwezekani simamia hapo hapo KUCHI LAZIMA MWAKA HUU KIELEWEKE.
 
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye Zanzibar yake kashasema kura ni 27/10/2020 hao vibaraka wa jiwe wanamamlaka gani na Zanzibar?
Nileteeeni Gwajimaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaàaaaaaaaaaa
Nileteeeni Gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Nileteeeeni gwajimaaaaaàaaaaaaaaaàaaaaàaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]

Hamnionei hata huruma sauti hadi inakauka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kuwapa fursa ya kufurukuta, tarehe 27 watu wataenda kupiga kura wote, na tarehe 28 watakwenda kutia ya Muungano
 
Anatiketi ya Oman pengine. Wengine twende wapi? Twafwaaaa
 
Kuishi kwingi kuona mengi.
 
Kwa mini wanapiga siku mbili wakuu.?
Hayo Mambo aliyataka Maalim Seif mwenyewe pale alipokataa kushiriki uchaguzi wa marejeo akawaachia CCM peke yao watawale Baraza la wawakilishi, Sasa wakapitisha Sheria ya uchaguzi wa mapema. Kufuta hii Sheria Hadi muswada upelekwe Tena kwenye Baraza la wawakilishi.
 
Ni njama za wazi ,Tanzania bara yenye wapiga kura mil 29 wanapiga kura siku 1 halafu Zanzibar isiyo na zaidi ya wapiga kura mil 2 wanapiga kura siku 2
Million 2 watoke wapi? hawafiki hata laki 4
 
Maalim Seif aliwashika CCM vibaya mno 2015 siku nimeambiwa mbinu alizotumia nikasema jamaa yuko smart! Ikabidi CCM wamtumie kada wao Jecha kunusuru Jahazi la Shein
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…