Maalim Seif asema Lipumba atashindwa kama Mapalala

Maalim Seif asema Lipumba atashindwa kama Mapalala

Wazanzibar wako ngagari katika Muungano wakulazimiswa,Muungano hivi sasa hauna turufu tena kwa Wazanzibar Unaishi kwa nguvu za Jeshi tu .

Ndani ya nyoyo za Wazanzibar haumo tena na ndio maana ccm haitakiwi Zanzibar na wazanzibar .

Ccm ya Zanzibar ni Seif iddi na ndugu zake Lipumba .
 
Back
Top Bottom