Wazanzibar wako ngagari katika Muungano wakulazimiswa,Muungano hivi sasa hauna turufu tena kwa Wazanzibar Unaishi kwa nguvu za Jeshi tu .
Ndani ya nyoyo za Wazanzibar haumo tena na ndio maana ccm haitakiwi Zanzibar na wazanzibar .
Ccm ya Zanzibar ni Seif iddi na ndugu zake Lipumba .