Uchaguzi 2020 Maalim Seif: CCM imeweka mikakati yake ya kumtafutia ushindi Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu aje nimpe mikakati ya kushinda kwenye Uchaguzi

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe mikakati ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020.

Maalim Seif ambaye ni Mwenyekiti chama hicho ametoa kauli hiyo jana Jumanne tarehe 22 Septemba 2020 katika mkutano wake na timu za ushindi za mikoa na majimbo ACT-Wazaendo za Unguja.

Alisema Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeweka mikakati yake ya kumtafutia ushindi Rais John Pombe Magufuli, Mgombea wake Urais wa Tanzania na kwamba Lissu anatakiwa awe na mbinu za kupangua mikakati hiyo.

“Kule bara kuna mikakati yao yote nimeshaambiwa na mimi nataka nikutane na Lissu nimpe mikakati hiyo na nimwambie akiweza kuzuia mikakati hiyo wamekwisha hawa,” alisema Maalim Seif.

Kuhusu uchaguzi huo, Maalim Seif aliswma mpinzani wake wa karibu Dk. Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM anapaswa kujiandaa kushindwa huku akimtaka Dk. Magufuli kukusanya virago vyake kwa maelezo kwamba hawatashinda katika Uchaguzi Mkuu huo.

“Mara hii rafiki yangu Magufuli ajiandae kufunga Virago vyake na Hussein Mwinyi akikubali ajiandae kua Makamu wangu wa Kwanza wa Rais. Mara hii kichwa lazima kitoke ACT-Wazalendo,” alisema Maalim Seif.

Hivi karibuni, Lissu akiwa Zanzibar alitangaza kumuunga mkono Maalim Seif kwenye mbio za urais huku Maalim Seif naye ameweka wazi kumuunga mkono Lissu. Chadema imesimamisha mgombea urais wa Zanzibar, Said Issan Mohamed ambaye Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemteua kugombea urais.

Pia, ACT-Wazalendo imemsimamisha Bernard Membe, kugombea urais wa Tanzania na tayari amekwisha zindua kampeni zake za urais mkoani Lindi ingawa kwa sasa haendelei na kampeni.

Jana Jumanne, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akihutubia mkutano wa kampeni wa mgombea Ubunge wa Tabora Mjini kupitia chama hicho, Msafiri Mtemelwa alisema, mazungumzo ya kushirikiana yamekamilika.

Zitto alisema, mazungumzo ya kusimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais, kuachiana majimbo na kata nayo yamenalizika na tarehe 3 Oktoba 2020 katika mkutano wa kampeni
 
Mgombea aliyewahi kushindwa na CCM hiyohiyo mara tano, Leo amekuwa fundi wa kuwapa Mbinu wengine kushughurika na CCM hiyohiyo.

Hivi, mpaka muda huu, bado kunamjinga anaamini CCM itashindwa mwaka huu, Walishindwa kuing'oa 2015 wakiwa na ukawa wenye Vyama zaidi ya vinne na wanasiasa wakongwe na maarufu na wenye uzoefu wa kisiasa mara tatu zaidi yao, waje kuweza leo?

Ujinga kwelikweli!!
 
Hivi, mpaka muda huu, bado kunamjinga anaamini Ccm itashindwa mwaka huu, Walishindwa kuing'oa 2015 wakiwa na ukawa wenye Vyama zaidi ya vinne na wanasiasa wakongwe na maarufu na wenye uzoefu wa kisiasa mara tatu zaidi yao, waje kuweza leo?

Ujinga kwelikweli!!

maalim seif ni sayari nyengine acha mazoea mara hii hali yenu ni ngumu zaidi pande zote, jiulize swali 1 tu moyoni mwako, kwanini maalim seif ameijua mikakati ya jiwe kupewa ushindi mapema hivi? ni wazi huko juu kumeoza wachawi wanaomtafuna jiwe ni wengi ambao utawaona bega kwa bega pamoja naye lakini nje ya hapo ni nyoka.
 
MAALIM Seif Sharif Hamad, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia ACT-Wazalendo anataka kukutana na Tundu Lissu, Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema ili ampe mikakati ya ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa tarehe 28 Oktoba 2020.

Maalim Seif ambaye ni Mwenyekiti chama hicho ametoa kauli hiyo jana Jumanne tarehe 22 Septemba 2020 katika mkutano wake na timu za ushindi za mikoa na majimbo ACT-Wazaendo za Unguja.

“Kule bara kuna mikakati yao yote nimeshaambiwa na mimi nataka nikutane na Lissu nimpe mikakati hiyo na nimwambie akiweza kuzuia mikakati hiyo wamekwisha hawa,” alisema Maalim Seif.

Kuhusu uchaguzi huo, Maalim Seif aliswma mpinzani wake wa karibu Dk. Hussein Ali Mwinyi, Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM anapaswa kujiandaa kushindwa huku akimtaka Dk. Magufuli kukusanya virago vyake kwa maelezo kwamba hawatashinda katika Uchaguzi Mkuu huo.

“Mara hii rafiki yangu Magufuli ajiandae kufunga Virago vyake na Hussein Mwinyi akikubali ajiandae kua Makamu wangu wa Kwanza wa Rais. Mara hii kichwa lazima kitoke ACT-Wazalendo,” alisema Maalim Seif.

Hivi karibuni, Lissu akiwa Zanzibar alitangaza kumuunga mkono Maalim Seif kwenye mbio za urais huku Maalim Seif naye ameweka wazi kumuunga mkono Lissu. Chadema imesimamisha mgombea urais wa Zanzibar, Said Issan Mohamed ambaye Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) imemteua kugombea urais.

Pia, ACT-Wazalendo imemsimamisha Bernard Membe, kugombea urais wa Tanzania na tayari amekwisha zindua kampeni zake za urais mkoani Lindi ingawa kwa sasa haendelei na kampeni.

Jana Jumanne, Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akihutubia mkutano wa kampeni wa mgombea Ubunge wa Tabora Mjini kupitia chama hicho, Msafiri Mtemelwa alisema, mazungumzo ya kushirikiana yamekamilika.

Zitto alisema, mazungumzo ya kusimamisha mgombea mmoja wa nafasi ya urais, kuachiana majimbo na kata nayo yamenalizika na tarehe 3 Oktoba 2020 katika mkutano wa kampeni
Shikamoo babu Tunakuheshimu sana
 
Hiyo mikakati aliisikia kule ikulu nini walipoitwa na Magufuli?
 
Mipango ishajulikana siku nyingi asilimia 84 iliyotengezwa ni shidaaa!
 
Duh
IMG_20200923_105539_483.jpg
 
Hii sio siri. Kujua kama kuna Mikakati na janjajanja za wizi ni jambo moja ila kuizua ni jambo jingine kabisa.

Labda Maalim Seif atashare uzoefu wake wa kuporwa ushindi tangu 1995, ilikuwaje na yeye akashindwa kuzuia/kupindua meza iliyopinduliwa na kajipangaje 2020 hii
 
Mgombea aliyewahi kushindwa na CCM hiyohiyo mara tano, Leo amekuwa fundi wa kuwapa Mbinu wengine kushughurika na CCM hiyohiyo.

Hivi, mpaka muda huu, bado kunamjinga anaamini Ccm itashindwa mwaka huu, Walishindwa kuing'oa 2015 wakiwa na ukawa wenye Vyama zaidi ya vinne na wanasiasa wakongwe na maarufu na wenye uzoefu wa kisiasa mara tatu zaidi yao, waje kuweza leo?

Ujinga kwelikweli!!
Tatizo hujui kilichopo. Watu wa deep state wanaelewa kila kitu. Kwanza fungua fumbo LA mzimu wa 2015 Kule Zanzibar na kilichojiri. Hivi unaamini Maalim ashiriki tens uchaguzi kwa mazingira Yale Yale? Jiulize kunani? Think big. Kichwa unaambiwa kinatoka ACT.

Lissu nenda kwa Maalim ukachukue mbinu, nenda.
 
Tundu Lissu kura tunakupigia.. na tutazilinda. Mikakati hiyo ya hawa jamaa ya wizi please ujiandae namna ya kukabiliana nayo. Kama kuna ambacho wananchi tunatakiwa kufanya cha ziada tujulishe. Sasa hivi enough is enough. Hatutaki tena kuongozwa kwa masimango na dhulma. Tunakutaka wewe.
 
Mgombea aliyewahi kushindwa na CCM hiyohiyo mara tano, Leo amekuwa fundi wa kuwapa Mbinu wengine kushughurika na CCM hiyohiyo.

Hivi, mpaka muda huu, bado kunamjinga anaamini Ccm itashindwa mwaka huu, Walishindwa kuing'oa 2015 wakiwa na ukawa wenye Vyama zaidi ya vinne na wanasiasa wakongwe na maarufu na wenye uzoefu wa kisiasa mara tatu zaidi yao, waje kuweza leo?

Ujinga kwelikweli!!
Ha ha ha bora amesema ukweli. CCM mikakati Bana, ngoja akawape desa la 2000 waingie chaka.
 
Mgombea aliyewahi kushindwa na CCM hiyohiyo mara tano, Leo amekuwa fundi wa kuwapa Mbinu wengine kushughurika na CCM hiyohiyo.

Hivi, mpaka muda huu, bado kunamjinga anaamini CCM itashindwa mwaka huu, Walishindwa kuing'oa 2015 wakiwa na ukawa wenye Vyama zaidi ya vinne na wanasiasa wakongwe na maarufu na wenye uzoefu wa kisiasa mara tatu zaidi yao, waje kuweza leo?

Ujinga kwelikweli!!
Walishindwa kwasababu walikuwa namgombea alikuwa namadoa mengi hivyo walifanya kazi mbili kumtangaza nakumsafisha kwakutumia dodoki nadodoki halitoi madowa
Lakini kwa lisu nizaidi yamsafi ni yeye
 
maalim seif ni sayari nyengine acha mazoea mara hii hali yenu ni ngumu zaidi pande zote, jiulize swali 1 tu moyoni mwako, kwanini maalim seif ameijua mikakati ya jiwe kupewa ushindi mapema hivi? ni wazi huko juu kumeoza wachawi wanaomtafuna jiwe ni wengi ambao utawaona bega kwa bega pamoja naye lakini nje ya hapo ni nyoka.
Siku zote huwa nawaambia hakuna kitu viongozi wa upinzani wanafurahia kuwa na wafuasi vilaza kama nyie!

Sasa Seif alitaka ccm isimuandalie mgombea wake mikakati ya ushindi?

Si Seif huyuhuyu 2016 alisema baada ya miezi 3 atakabidhiwa nchi yake ya Zanzibar? Vipi hiyo miezi 3 mpaka leo haijaisha?

Haya hiyo mikakati aliyosema Seif wewe amekuinesha?
 
Back
Top Bottom