Uchaguzi 2020 Maalim Seif: CCM imeweka mikakati yake ya kumtafutia ushindi Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu aje nimpe mikakati ya kushinda kwenye Uchaguzi

 
Maalimu seif safari hii, anashindwa kwa tofauti kubwa kuwahi kutokea katika historia ya uchaguzi zanzibar. Kijana mchapakazi Hussein Ally Hassan Mwinyi ndiye chaguo la kizazi kipya
Siiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiisiem WOYYEEEEEEEEEEEEEEEEEE!! ✌ ✌✌✌✌✌🐸🐸
 


Mkuu Hakuna jipya. Banda ya October 28 utasikia tuliibiwa kura ..mara hatumtambui rais . Ukistuka 2025
 
Alishindwa au aliporwa ushindi?
 
Maalimu seif safari hii, anashindwa kwa tofauti kubwa kuwahi kutokea katika historia ya uchaguzi zanzibar. Kijana mchapakazi Hussein Ally Hassan Mwinyi ndiye chaguo la kizazi kipya
Uwe unaona aibu kuongea urongo 2015 maalimu alishindwa au alishindwa?
Jecha akifanya Nini,tuanzie hapo kwanza kabla hujaendelea
 

Acha wajidanganye kuwa ndiyo wao tu wenye maafisa vipenyo.

Mwaka huu mbona wataula wa chuya?
 
Maalimu seif safari hii, anashindwa kwa tofauti kubwa kuwahi kutokea katika historia ya uchaguzi zanzibar. Kijana mchapakazi Hussein Ally Hassan Mwinyi ndiye chaguo la kizazi kipya

Replace:

"Anashindwa" = "anaibiwa"

"Kibazo kipya"="mamlaka iliyopo"
 
T Tarehe 28 sio mbali mutacheki picha halafu kama kawaida yenu msingizie kuibiwa sijui mnaibiwaje wakati mume weka mawakala kila kituo, halafu mulivyo na roho mbaya munawashindisha njaa hata chakula hamuwapi.
 
Aliyeporwa USHINDI MARA 5 sio kushindwa πŸ₯°πŸ₯°πŸ€£πŸ€£πŸ˜
 
Kwanini hawa jamaa wanacheza na akili zenu wakuu. Kama kuna mkakati wa siri, ili ujumbe umfikie Lissu ni lazima aende kwake na ilikuwa lazima amuite kwa mbiu ya mgambo ya hadharani kama hivi.
 
Maalimu seif safari hii, anashindwa kwa tofauti kubwa kuwahi kutokea katika historia ya uchaguzi zanzibar. Kijana mchapakazi Hussein Ally Hassan Mwinyi ndiye chaguo la kizazi kipya
Kijana ambaye hakupata hata kura moja ya wajumbe wa Zanzibar ambao ni wa chama twawala. Aliwekwa ulingoni kwa kusukumizwa kwa kura za wadanganyika! Yakhe wanchoka kuletewa rais kutoka bara. Sasa basi!
 
Mara zote Maalim Seif alipokuwa akiporwa ushindi wake, yeye alikuwa ana amini kuwa CCM wanapiga kura zaidi ya mara moja tu. Na kwamba akiamini kuwa kura zake zinabaki kama zilivyopigwa. Uchaguzi wa 2015 baada ya Mansour kujiunga na CUF, ndipo alipomtobolea siri zote namna anavyoibiwa. Ilikuwa ni mawakala wake mwenyewe na baadhi ya watu walioko juu kwenye CUF walikuwa wakipewa mpunga wa kutosha kuonesha kuwa kikura wamezidiwa CUF. Watu walilazwa hospitali baada ya Mansour kumuonesha Seif wanafik wake. Ndio maana 2015 ikawa ngumu kwa CCM kutoa mpunga kwa mawakala maana maalim alikaba hadi kivuli, matokeo yakimaliza kuhesabiwa tu yanarushwa ofisi kuu. Unaambiwa Mansour alipokwenda kwenye jimbo lake alimkuta wakala wake anasinzia, alimpa kibao kimoja tu πŸ˜€

Maalim alishindwa kupinduwa meza kwa sababu CCM wanatumia nguvu ya jeshi. Unaambiwa wafanyakazi wa umma washaambiwa wamepeleka vitambulisho vyao vya kupiga kura. Lengo ni kuwa watie CCM ama kibarua hawana.

Maalim kwa 2020 asipopewa urais, hakuna dalili kama ataweza kugombea tena 2025, hivyo mwaka huu kwa yeye naweza kusema kuwa he has nothing to loose, atategemea wafuasi wake ndio iwe sababu ya yeye kuapishwa. Namaanisha, ile kauli yake ya liwalo na liwe, huenda mwaka huu la kuwa likakuwa kusudi dunia ione udhalimu wa CCM.
 
Kijana ambaye hakupata hata kura moja ya wajumbe wa Zanzibar ambao ni wa chama twawala. Aliwekwa ulingoni kwa kusukumizwa kwa kura za wadanganyika! Yakhe wanchoka kuletewa rais kutoka bara. Sasa basi!
Hili jambo hata CCM wenyewe limewakereketa kwa kweli lakini hawapo tayari kukosa ugali wao. Lakini all in all, Mwinyi ndio chaguo sahihi kwa CCM kuliko hata wale waliochaguliwa na CCM Zanzibar. Japokuwa udhalimu kwenye sanduku utafanyika, lakini nina imani, Mwinyi atakapokuwa rais, kuna possibility kubwa ya kusimamia miradi ya Zanzibar vizuri kuliko wale waliochaguliwa ma CCM Zanzibar. Mfano, barabara ya kujengwa 2020 itajengwa 2020 wakati wale wa CCM Zanzibar, wangesubiri 2025 ndio waijenge. CCM Zanzibar wamekuwa walafi mno sana, wanafikiria matumbo yao tu. wamekuwa watu wa roho mbaya, na wao ndio wanaosababisha CCM Zanzibar kuzidi kuchukiwa. Huko Makunduchi kwenye ngome yao, unaambiwa watu wamewachoka, wanasema mara hii bora wakipe chama kingine tu waone kama watapata mabadiliko.

Binafsi, suala la kuchaguliwa viongozi Zanzibar bara naona ni vyema tu. Ndipo CCM Zanzibar watakapotia akili.
 
Ni enzi hizo si wakati huu! Seif kachoka na kizazi chake pia kimechoka..

Kizazi kinachopiga kura zanzibar wakati huu ni kile kilichozaliwa ndani ya Muungano
Watu wamehasika mara 1000 zaidi saivi jamaa wanatapatapa tu huku Zanzibar wanalazimisha wafanya kazi wapeleke Vitambulisho vya Zanzibar mkaazi, cha mpiga kura na kituo cha kupigia kura.
Hali yao ni ngumu sana ila ng'ombe atakavo lala ndivyo tutakavyomchinja.
 
Nimeshangaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…