Uchaguzi 2020Maalim Seif: CCM imeweka mikakati yake ya kumtafutia ushindi Dkt. John Magufuli, Tundu Lissu aje nimpe mikakati ya kushinda kwenye Uchaguzi
Maalimu seif safari hii, anashindwa kwa tofauti kubwa kuwahi kutokea katika historia ya uchaguzi zanzibar. Kijana mchapakazi Hussein Ally Hassan Mwinyi ndiye chaguo la kizazi kipya