Nimeshangaa kuona Maalim Seif hakuapishwa jana. Nilidhani kuwa yeye kama makamu wa raisi ktk serikali ya umoja wa kitaifa alitakiwa kula kiapo. Naomba mnifahamishe wenye kulifahamu swali hili.
Mkuu wa serikali ya Zanzibar ni mmoja naye ni Dr. Shein aliye hapishwa jana kushika madaraka hayo. Seif kama makamu wa kwanza wa rais ni msauidizi mkuu wa Shein. Katika hali hiyo atamwapisha yeye wakati ukifika.