Maalim Seif: Lowassa amerudi CCM kwa shinikizo la familia na Chadema kutotendea vyema

Jenga hoja kamanda, kwani harusiwi kutoa maoni kuhusu Chadema?
 
Mzee acha porojo kilichomrudisha Lowassa CCM ni Familia yake+Kesi+Mali zake hakuna cha kutendewa Vibaya na Chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui seif kitu gani kimempata hata mimi nilipoona kwenye interview yake nilishangaa sana, anyway ndio maana cdm wanataka kwenda ikulu kama team na sio mtu mmoja maana chochote chaweza kutokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ungejibu hoja bila kejeli kamanda
Naona mods wamekusaidia kuandika heading,mwanzo kabisa nilisema kwa tittle hiyo mtu asiposoma content anaingia cha kike!Naona mods wameliona hilo na wamekurekebisha na nia yako ya kupotosha,hahahaaaaa!Lumumba mnakwama sana kwenye propaganda!
 
Haya sasa jikite kwenye hoja usijichekeshe angali moyo unalia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi na Duni?

Jogoo wa kuazima siku zote akimaliza kazi anarudishwa au anarudi kwao.

Hizo za "nasikia" ni porojo tu.
 
Hayo n Hayo ni maoni yake binafsi,lakini ukweli ni kwamba yeye mwenyewe alisema utendaji kazi wa Rais JPM ndio umemfanya arudi kundini. Maana hakuna haja ya kukaa CCM B wakati CCM A inafanya yale ambayo wananchi wanayataka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…