Maalim Seif na mimi

Mkuu Amani Karume analipi la kusifiwa?kuna mahala kakiri kuwa awamu zote za chaguzi zilizompa ushindi alimdhulumu Maalim Seif? Katika majitu manafiki kwa mimi huyu Amani Karume ni mmoja wao.
 
Mzee kumbe uliwahi kuwa Mume wa muheshimiwa kwa nyakati fulani.
 
Mkuu Amani Karume analipi la kusifiwa?kuna mahala kakiri kuwa awamu zote za chaguzi zilizompa ushindi alimdhulumu Maalim Seif? Katika majitu manafiki kwa mimi huyu Amani Karume ni mmoja wao.

nikweli kabisa hajawahi kukiri kuwa alimuibia kura Maalim Seif, na mabaya mengi aliyoyafanya katika utawala wake.

Ni mnafiki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…