Elections 2010 Maalim Seif na Sawa sawa!!!

Elections 2010 Maalim Seif na Sawa sawa!!!

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Hivi ni mara ngapi katika hotuba Ndg Maalim Seif husema neno sawa sawa mi naanza kumbatiza Jina Maalim Seif bin Sawa sawa! so itakuwa pale umati utakapojibu si sawa nathani mziki wake utajulikana siku hiyo!
 
ha ha ha... mi nikiwa nasikiliza hotuba zake najikuta nasema "sawa sawa" kabla yeye hajasema, maana najua wazi kinachofuata ndio hicho.
 
ha ha ha... Mi nikiwa nasikiliza hotuba zake najikuta nasema "sawa sawa" kabla yeye hajasema, maana najua wazi kinachofuata ndio hicho.
the same to me! Sawa sawa
 
HUYU NDIYE MGOMBEA WA KI SAWA SAWA! kati ya wagombea wote wa Zanzibar.Ni matumaini ya Wazanzibari kuwa atafanya mambo ya kisawa sawa!.
 
Back
Top Bottom