Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Hivi ni mara ngapi katika hotuba Ndg Maalim Seif husema neno sawa sawa mi naanza kumbatiza Jina Maalim Seif bin Sawa sawa!
the same to me! Sawa sawaha ha ha... Mi nikiwa nasikiliza hotuba zake najikuta nasema "sawa sawa" kabla yeye hajasema, maana najua wazi kinachofuata ndio hicho.