Tukumbushe basi ,ujumbe huo ulisema nini?Naamini kuna ujumbe ambao Seif alipelekewa,naamini ulikuwa ujumbe mzit
Twende taratibu,Angewasikiliza katika kitu gani?
Viongoz wa Dini gani?
KWA heshima gani walinayo??
Lakini si kwa siasa za sasa za kuchapana viboko hadharani.Uchaguzi umeisha tusameheane na tujenge nchi yetu sasa
Aliyechapwa viboko si ndio makamu wa kwanza wa rais?Lakini si kwa siasa za sasa za kuchapana viboko hadharani.
Sent from my Nokia 2.1 using JamiiForums mobile app