Maalim Seif Sharif: Uvumilivu sasa basi, wanachama lindeni ofisi na mali za chama

sasa kama kachoka mbona mko busy bado kumpiga vita? tulieni tuone kama kachoka
... Maalim anajitutumua tu mkuu haamini kama enzi zimepita. Hata kwenye masumbwi bondia anaweza kutandikwa za kutosha but asikubali kirahisi kashindwa hadi refa aingilie kati. Ukubali usikubali Maalim kachoka tumsaidie kwa kumweleza ukweli asije "akafia ulingoni".
 
sijasoma maelezo yote kwa sababu ya ufinyu wa muda ila swali la msingi je ACT WAZALENDO wametoa taarifa kwenye vyombo vya dola kuhusu hizo tetesi? na je ikigundulika ni udaku na propaganda za kisiasa wako tayari kuchukuliwa hatua kuhusu huu uvumi
Mahakama CCM au ipi, police CCM au ip. Ni upuuzi kwenda mahakani kushitaki wakati unajua hutashinda hata kusikilizwa tu.
 
sijasoma maelezo yote kwa sababu ya ufinyu wa muda ila swali la msingi je ACT WAZALENDO wametoa taarifa kwenye vyombo vya dola kuhusu hizo tetesi? na je ikigundulika ni udaku na propaganda za kisiasa wako tayari kuchukuliwa hatua kuhusu huu uvumi
Mahaka
 
Nguma we
 
Pumba
 
Sasa hivi huwezi itofautisha CCM na bokoharam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…