Seifu kachoka mwenyewe; umri nao umekewenda. Yaani miaka 25 anagombea urais tu muda wote huo na hivi sasa an zaidi ya umri wa Nyerere wakati anafariki (baada ya kustaafu miaka kumi na nne), ni lazima achoke.Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibari wameshapitia mengi na wamekuwa na uvumilivu mkubwa, lakini sasa imetosha
Amesema, "Sisi tumeshavumilia vya kutosha, sasa tunakwenda tarehe 27 na 28 tukiwa tayari kwa lolote litakalotokea kulinda Demokrasia na Haki ya Wazanzibari kumchagua Rais wanayemtaka"
Ameongeza, "Nchi yetu iliamua kwa hiari kuingia katika mfumo wa Vyama vingi, jambo hili lipo katika Katiba ya Taifa letu. Tuiache Demokrasia ifuate mkondo wake kwa amani"
yetu macho maana kuna rais mstaafu alikufa akisikitika jinsi alivyoamrisha mauaji ya waandamanaji
Roho ya mamba hii, wewe sio binadamu na shetani ana uafadhaliMwenyezi Mungu amkaange kwenye moto milele.
Hata kibaki alipambana sana na hatimaye alikuja kuwa Raisi akiwa na 70+Seifu kachoka mwenyewe; umri nao umekewenda. Yaani miaka 25 anagombea urais tu muda wote huo na hivi sasa an zaidi ya umri wa Nyerere wakati anafariki (baada ya kustaafu miaka kumi na nne), ni lazima achoke.
Hakuna kurudi nyuma mwaka huu!! It’s we do or we die!Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibari wameshapitia mengi na wamekuwa na uvumilivu mkubwa, lakini sasa imetosha
Amesema, "Sisi tumeshavumilia vya kutosha, sasa tunakwenda tarehe 27 na 28 tukiwa tayari kwa lolote litakalotokea kulinda Demokrasia na Haki ya Wazanzibari kumchagua Rais wanayemtaka"
Ameongeza, "Nchi yetu iliamua kwa hiari kuingia katika mfumo wa Vyama vingi, jambo hili lipo katika Katiba ya Taifa letu. Tuiache Demokrasia ifuate mkondo wake kwa amani"
So amemaanisha nini sasa? Kwamba?mbona haeleweki na hana lolote la maana kutisha watuMgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibari wameshapitia mengi na wamekuwa na uvumilivu mkubwa, lakini sasa imetosha
Amesema, "Sisi tumeshavumilia vya kutosha, sasa tunakwenda tarehe 27 na 28 tukiwa tayari kwa lolote litakalotokea kulinda Demokrasia na Haki ya Wazanzibari kumchagua Rais wanayemtaka"
Ameongeza, "Nchi yetu iliamua kwa hiari kuingia katika mfumo wa Vyama vingi, jambo hili lipo katika Katiba ya Taifa letu. Tuiache Demokrasia ifuate mkondo wake kwa amani"
Huyu mzee akifie mbele, hatumpi uraisi was zenji ng'ooMgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Wazanzibari wameshapitia mengi na wamekuwa na uvumilivu mkubwa, lakini sasa imetosha
Amesema, "Sisi tumeshavumilia vya kutosha, sasa tunakwenda tarehe 27 na 28 tukiwa tayari kwa lolote litakalotokea kulinda Demokrasia na Haki ya Wazanzibari kumchagua Rais wanayemtaka"
Ameongeza, "Nchi yetu iliamua kwa hiari kuingia katika mfumo wa Vyama vingi, jambo hili lipo katika Katiba ya Taifa letu. Tuiache Demokrasia ifuate mkondo wake kwa amani"
Hamumpi nyie kama nani ? Makeki ya kitanganyika, hayo mapinduzi mnayojisifia pia yalikushindeni kuyafanya. Kama si Nyerere kukuleteeni watanganyika mngebakia sideline hadi leo. Washamba wakubwa.Huyu mzee akifie mbele, hatumpi uraisi was zenji ng'oo
Serikali isiyothamini uhai wa watu wake haina kibali cha kuendelea kutawala tarehe 28 tunaenda kumkataa shetani naambo yake yoteSo amemaanisha nini sasa? Kwamba?mbona haeleweki na hana lolote la maana kutisha watu
Ni upuuzi tu,demokrasia ni nini huku Afrika? Neno hili la kuiga ndo liliivuruga Libya haikaliki mpaka leo,nchi zetu za kiafrika zilikua tamaduni zake nje na neo demokrasia,huo ni mtego wa weupe kuwanasa weusi waanze kuuana ovyo ili wapungue duniani
Roho ya mamba hii, wewe sio binadamu na shetani ana uafadhali