Karibu sanaSawa
Nipo kigamboni mtaa wa ungindoni ila kuna baadhi ya kazi nafanya kwa mteja kuna baadhi ndo nafanyia kwangu karibu sana tukuhudumieUKO wapi? Mbona mnashindwa kujieleza. Kumbuka katika biashara kuna vitu vitatu. LOCATION, LOCATION, LOCATION
LOCATION ni kama vile sehemu unayofanyia huduma / biashara kama inafifika
Compressor aina gn? Used au mpya?Nitakucheck nahitaji compressor