Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Tumia TTCL bei ya chini kabisa 60000/- lkn kwa nyumbani inatosha inakuwa unlimited. Pia kuna zuku na konnect. Konnect inakuwa kwa satellite. Lakn maeneo ya mjini ndo utazpataHabari za muda huu wakuu?
Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi?
a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa mwezi. Mfano GB 20 * 2500, hivyo kulipia 50k
Au (b) Mnakubaliana kiwango fixed cha malipo bila kujali idadi ya GB zilizotumika?
Ipi kati ya hizo namna mbili ni sahihi?
Na je, kampuni ipi inatoa huduma nzuri?
Natumia TTCL malipo ni kwa speed bila kujali utatumia GB ngapi kwa mwezi hata ukitumia TB haikati.Habari za muda huu wakuu?
Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi?
a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa mwezi. Mfano GB 20 * 2500, hivyo kulipia 50k
Au (b) Mnakubaliana kiwango fixed cha malipo bila kujali idadi ya GB zilizotumika?
Ipi kati ya hizo namna mbili ni sahihi?
Na je, kampuni ipi inatoa huduma nzuri?
Mbna kuna 10mbps ambayo ni 60000/- kama cjasahauNatumia TTCL malipo ni kwa speed bila kujali utatumia GB ngapi kwa mwezi hata ukitumia TB haikati.
40Mbps ni 100,000/= kwa mwezi
60Mbps ni 150,000/= kwa mwezi.
100Mbps ni 200,000/= kwa mwezi.
Ila hata cha bei ya chini kina speed nzuri kwa matumizi ya nyumbani.
TTCL mpaka waje kukufungia fiber labda uwe na sura yenye kufanana na kiongozi wa serikaliniNatumia TTCL malipo ni kwa speed bila kujali utatumia GB ngapi kwa mwezi hata ukitumia TB haikati.
40Mbps ni 100,000/= kwa mwezi
60Mbps ni 150,000/= kwa mwezi.
100Mbps ni 200,000/= kwa mwezi.
Ila hata cha bei ya chini kina speed nzuri kwa matumizi ya nyumbani.
Hauko sahihi, hizo bando ni unlimitedHabari za muda huu wakuu?
Kwa watumiaji wa Home internet (Wi-Fi). Hivi malipo hufanyika kwa mwenendo upi?
a) Nilifikiria huenda wana count idadi ya data unazotumia, hivyo unazilipa mwisho wa mwezi. Mfano GB 20 * 2500, hivyo kulipia 50k
Au (b) Mnakubaliana kiwango fixed cha malipo bila kujali idadi ya GB zilizotumika?
Ipi kati ya hizo namna mbili ni sahihi?
Na je, kampuni ipi inatoa huduma nzuri?
TTCL mpaka waje kukufungia fiber labda uwe na sura yenye kufanana na kiongozi wa serikalini
Tangu Fiber haijarahisishwa bei, tulianza ku request Copper lakini tulikaa mwaka hakuna hata surveyors waliokujaKwa hyo ni kipengele?
Hiyo ilikuwa zamani sasa hivi wanakufungia wiki moja baada ya kujaza fomu zao.Hapa wilayani wameshafungia zaidi ya wateja 30 kwa kipindi cha miezi miwili tu.TTCL mpaka waje kukufungia fiber labda uwe na sura yenye kufanana na kiongozi wa serikalini
Zamani ya lini wakati Fiber imerahisishwa juzi hapo?Hiyo ilikuwa zamani sasa hivi wanakufungia wiki moja baada ya kujaza fomu zao.Hapa wilayani wameshafungia zaidi ya wateja 30 kwa kipindi cha miezi miwili tu.
Naona wanatengeneza mazingira ya uwape chochote kitu.Zamani ya lini wakati Fiber imerahisishwa juzi hapo?
Mimi nimejaza fomu zaidi ya mara tatu, wanapiga simu napokea wanasema wanakuja lakini hakuna anayekuja.
Nimeenda ofisini kwao zaidi ya mara mbili wananiambia surveyor atakupigia simu, siku zinapita hakuna simu.
Siku nimepigiwa simu namuelekeza eneo langu ambalo nipo (na ndio nililojaxa hata kwenye fomu) nashangaa ananiambia yeye ni surveyor wa Kariakoo hivyo hausiki na eneo langu
Mimi nikamuambia basi kwasababu wewe upo hapo ofisini basi wasilisha kwa surveyor wa eneo langu akasema hiyo sio kazi yake hapo ni mpaka nikajaze fomu upya. Nikaona ni upuuzi