JamiiTalks
JF Advocacy Team
- Aug 7, 2018
- 685
- 1,124
U.T.I ni maambukizi katika njia ya mkojo na huathiri mfumo wa mkojo na mfumo wa uzazi, pia wadudu huathiri sana kibofu na yurethra
Jina U.T.I ni kifupi cha Urinary Track Infection. Jinsia ya kike wanaathiriwa zaidi kuliko jinsia ya kiume hii ni kwa sababu njia yao ya mkojo (yurethra) ni fupi
U.T.I husababishwa na wadudu wadogo sana ambao ni bakteria waitwao Escherichia coli (E. coli)
Upvote
0