Maambukizi mapya ya VVU yazidi kupungua nchini

hizi habari mbona kama sio za kweli.
 
Yawezekana isiwe sehemu zote lakini kinachoendelea kinajulikana mkuu!! Sikosoi wala lengo si kupuuzwa kama unavyodhani juhudi zinachukuliwa lakini safari ni ndefu!!
Ndiyo,wao wametoa tu takwimu,wakimfanya hivyo siku zote tangu mapema 2000s
 
Ccm ni [emoji117][emoji90] kitu kinacho sababisha kupungua ni kimoja nguvu za kiume zimepungua sana ...hivyo kusababisha vvu kushuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…