Maambukizi ya COVID-19 Kenya yafikia 30,365

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kenya imerekodi maambukizi mapya 245 ya COVID19 yaliyotoka kwenye sampuli 3,150 zillizopimwa saa 24 zilizopita. Idadi hiyo imefanya maambukizi kufikia 30,365

Pia watu 504 wameripotiwa kupona na kufanya idadi ya waliopona kufikia 17,160. Watu 8 zaidi wamefariki kwa COVID19 na kufanya nchi hiyo kuwa na jumla ya vifo 482

Waziri wa Afya amewataka watumishi wa Afya kuwa mstari wa mbele katika kuikinga nchi hiyo dhidi ya janga hilo
===

Kenya’s COVID-19 cases on Monday rose to 30,365 after 245 more people tested positive for the disease from 3,150 samples tested within the last 24 hours.

Health Chief Administrative Secretary Dr. Rashid Aman, addressing the daily coronavirus briefings, said 145 of the new patients are males while 100 are females.

Dr. Aman said recoveries also rose to 17,160 after 504 patients recovered from the disease; 461 of them were under home-based care while 43 were discharged from various hospitals.

Eight more patients however succumbed to the disease, taking the number of fatalities to 482; 5 of them had underlying issues.

The CAS urged healthcare workers to maintain the course and their frontline role in protecting the country from the pandemic.

“As professionals and healthcare workers we have an obligation to serve. When you take the Hippocratic oath you ought to serve. Let’s not throw our hands and allow Kenyans to suffer in the midst of the pandemic,” he said.
 
Kenya igeni Tz mkipima kila mtu kwa fujo mtaishi kwa presha, hofu inauwa kuliko ugonjwa wenyewe.
 
Poleni sana majirani zetu Wakenya
 
Kila la heri majirani na ndugu zetu wa damu, hakikisheni mnaingia top 5 kwa Africa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…