Maambukizi ya utando wa kinywa

OCC Doctors

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
113
Reaction score
172
Maambukizi ya utando wa kinywa (Stomatitis), inahusu kuvimba na uwekundu wa utando wa mdomo (oral mucosa) ambayo husababisha maumivu na ugumu wa kuzungumza, kula, na kulala. Inaweza kuathiri mashavu ya ndani, ufizi, midomo na ulimi. Kuvimba husababisha kuundwa kwa vidonda vya mdomo, kimoja au vingi ambavyo hutoa rangi nyeupe na huambatana na maumivu.


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…