Maambukizi ya VVU huchukua muda gani kuonyesha umeathirika?

Then umeshakaa for more than 6 wks bila kuona any symptom. Inakuwaje? AU ndio you were luck?
 
Mzee Mwinyi ni mwana filosofa mzuri sana, alisema "ugonjwa huu umeingia pahali ambapo sote twapapenda, awe kijana, mzee. Sukari imeingia sumu".
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Kwa dna pcr machine unaweza kupima one week after na ikakupa results
 
Mkuu basi km hadi umefikia hatua ya kuleta uzi humu basi ujue ushaupata.. lkn sio ugonjwa ila upungufu wa kinga mwilini hali hiyo imeletwa na ww mwenyewe kwasababu ya kujishtukia yaani lazima utauforce mwili wako tu uone km hauko sawa
 
Nashukuru Mungu nimetoka kupima ngoma muda huu kwa kutumia HIV rapid test (determine ) na Bioline, NIPO vizuri. Mwisho wa kucheza rough!
 
Usife moyo hata kama umeathirika, bado unaweza kutimiza ndoto zako kwa kuishi kwa matumaini.
Navojua mimi miezi sita, ila nashkuru pia nimejifunza kitu kipya kua ni miezi mitatu. Hivo basi nenda kapime rafiki. [emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…