bishankara
Senior Member
- Feb 21, 2012
- 140
- 8
Naomba kujua ni maambukizi gani yaweza kuwapata wapenzi wanaopenda kupeana denda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hepatit B,mwanangu..
Homa ya ini haina tiba.
Saliva doesnt not contain HIV VIRUS .you can google that.
Ila to be on the safe side jiepusha na DENDA ZEMBE.
Sasa inakuwaje mbona kuna mashine zinazo baini HIV kwa ku sample MATE! Chunga sana mkuu.
Mi ninachojua ni kwamba,mpaka H.I.V wawepo kwenye mate,the infection has gone too far,yaan huyo mgonjwa ameanza kuonyesha dalili zote kubwa...otherwise HIV huwapati kwenye mate.Labda kule ukeni sawa,concentration ya virus huwa kubwa sana kule regardless the stage of the disease.
There you are - wewe unazungumzia concentration lakini hujakanusha kwamba mate hayana virus, ninachosema hapa ni kwamba kama kuna blood capillaries zilizo pasuka kwenye lips, mdomoni, fizi za meno, ulimi unaweza kuambukizwa ukimwi na mate ya muathilika regardless ya viro load; it is suicidal ku-dismiss suala hili off hand just like that!
Nakuunga mkono kamanda. Ni bora kuchukua tahadhari. Kuna michubuko mingine inatokea wakati wa kupiga mswaki, na unaweza hata usihisi kuwa una mchubuko.