Maamuzi juu ya maazimio ya bunge

ntalwila73

Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
39
Reaction score
7
Waungwana mnasemaje? Nimeona niilete mada hii mbele yenu muhidadavue kwa kibagaubaga
 
Inakuwaje ikulu iagize kuwa ripoti ya cag ipelekwe kwa raia ilhali tunaifahamu
 
Karibu sana JF...

Hizo ni sarakasi tu za kisiasa na inakupa picha namna mlivyo na kiongozi boya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…